sabato ya majengo

Bwana asifiwe watu wa Mungu. Nianze kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai aliyotukirimia hadi kufikia hii leo. Nipende kuwakaribisha wote katika sabato ya tarehe 02 / 04 / 2022 ambayo ni sabato ya mwanzo wa mwezi pia ni sabato ya kwanza kwa robo la pili la mwaka 2022 karibuni sana. Katika sabato ya kila mwanzo wa mwezi kanisa la mtaa wa Mwenge limeichagua kuwa sabato ya uchangiaji wa ujenzi wa nyumba ya Mungu unaoendelea. Ninawakaribisha wote katika sabato hii maana tumeandaa programu nzuri pia kutakuwa na meza ya bwana ambayo tunakula na kufarahi kwa pamoja wageni pamoja na wenyeji. Kama umeguswa kwa namna moja au nyingine kuchangia tafadhali wasiliana nasi au changia kupitia,

Nitungulize shukurani zangu za zati pia niwatakie siku njema na bwana awabariki.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *