Welcome to...

Mwenge SDA Church - Live Channel

Pata list za video zote kwenye channel yetu ya kanisa kupitia YouTube, https://bit.ly/mwengesdalive

Afya ni Mtaji

Kipindi cha Afya Ni Mtaji kinachorushwa mubashara (live) kila siku ya Jumanne, kuanzia saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki; Kutoka Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge. Karibu kufuatilia…

Angalia Video

Ongeza Ujuzi

Katika kipindi hiki, Jeremiah Wandili atakukutanisha na wataalam mbalimbali ili kujua fursa zilizopo, hasa katika hizi nyakati ngumu.
Karibu kufuatilia kipindi hiki kila siku ya Jumatatu, kuanzia saa 12:00 jioni…

Angalia Video

Wimbo Wangu

Wimbo Wangu ni kipindi maalumu cha kujifunza namna sahihi ya uimbaji wa Nyimbo za Kristo. Kipindi hiki kinarushwa mubashara (live), kila siku ya Alhamisi, kuanzia saa 12:00 jioni.

Angalia Video

Recent