sabato ya majengo
Bwana asifiwe watu wa Mungu. Nianze kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai aliyotukirimia hadi kufikia hii leo. Nipende kuwakaribisha wote katika sabato ya tarehe 02 / 04 / 2022 ambayo ni sabato ya mwanzo wa mwezi pia ni sabato ya kwanza kwa robo la pili la mwaka 2022 karibuni sana. Katika sabato ya kila mwanzo …