sisi ni akina nani?

DHAMIRA YETU

Kufanya wanafunzi wa Yesu Kristo wanaoishi kama mashahidi Wake wenye upendo na kuwatangazia watu wote injili ya milele ya Jumbe za Malaika Watatu ili kujitayarisha kwa ajili ya kurudi Kwake upesi (Mt 28:18-20, Mdo 1:8, Ufu 14:6-12) ). Tukiongozwa na Biblia na Roho Mtakatifu, Waadventista Wasabato hufuata misheni hii kwa njia ya kuishi kama Kristo, kuwasiliana, kufundisha, kuponya, na kutumikia.

MAHALI JENGO LILIPO:-

Tupo mtaa wa mwenge, mita 100 kutoka barabara ya Ali Hassan Mwinyi (New Bagamoyo Road), Mkabala na Hospitali ya serikali ya Mwenge.

HUDUMA ZETU:-