Ubatizo wa kweli
Huu ndio ubatizo wa kweli kama unavyofundisha na Neno Takatifu la Mungu, Biblia, na kama unavyoaminiwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato Duniani.
Ubatizo huu umefanyika katika kisima cha Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge, Dar es Salaam, ukisimamiwa na Mchungaji Petro Mganda, wa Kanisa hilo. Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji kwa namba +255 677 048 069 au +255 784 458 957. Kama una ushauri usisite kutuma kwa namba +255 713 343 939 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz.