Vikawe ni kundi jipya la kanisa la Mwenge ambalo limeanza rasimi mwaka 2012 na nikilomita Chache kutoka Kundi la Kimele baada ya kuacha barabara ya Bagamoyo ukiingilia Shule ya Baobabu kuelekea Kibaha.