Mpiji Darajani ni kundi la Kanisa ambalo lipo umbali wa Kilomita 20 hivi kutoka Kanisa Mama ukielekea Bagamoyo mkono wa kushoto mara baada ya kuvuka Daraja la Mpiji. Kundi linaendelea kukua vizuri na washiriki wanaendelea kuongezeka.