Mjimpya Mabwepande ni kundi ambalo bado halijapata jengo la kuabudia. Kwa sasa washiriki wanasalia katika jengo la muda la mabati.