Kimele ni kundi la kanisa lililopo kilomita 20 hivi kutokea kanisa mama ukiwa unaelekea bagamoyo na ukifika shule ya Baobabu unaingia mkono wa kushoto na kwenda Kilomita 3 hivi. Ni kundi la mda mrefu na watu wanabarikiwa kwa kufanya Ibada katika kundi hili.