Kiharaka ni kundi la kanisa ambalo lipo kilomita 20 hiv kutoka kanisa mama Mwenge kupitia barabara ya Bagamoyo mara baada ya kuvuka daraja la mpiji unaingia kulia na baada ya hapo utaenda Kilomita 5 hivi.