Amani ni kundi la kanisa la Mwenge ambalo lipo Kilomita 22 hivi kutoka kanisa Mama Mwenge ukielekea Bagamoyo ukifika eneo la Mapinga unaingia kulia kilomita 5 hivi.